CUF WAJIBU BAADA YA LIPUMBA KUTANGAZWA KUWA MWENYEKITI

Baada ya kupokea Ushauri huo, The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kinapenda kueleza yafuatayo: 1. Sheria ya Vyama vya Siasa (Political Parties Act, No. 5 of 1992)…

LIPUMBA APEWA WENYEKITI CUF

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba bado ni mwenyekiti ha…

KWA USHUJAA HUU CHADEMA WANATAKIWA KUIGWA
September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama Diwani na Mwenyekiti wake kutoka kata ya Kurasini, Matiti Claudian Togocho kutokana …

VIONGOZI WA DINI WA WASHAMBULIA CHADEMA

Viongozi wa Dini nchini, wamesema Rais JOHN MAGUFULI Hajakataa kuzungumza wala kuwapuuza viongozi hao ambao wamemuomba kukutana naye, kama inavyoenezwa na baadhi ya vyombo vya habari. Akizungumza leo jijini, Dar es Salaam na waandishi wa habari Shei…
NCHI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE IMEZUKA KANANGA

Ghasia za siku mbili katika mji wa Jamhuri ya kidemorasi ya Congo zimesababisha vifo vya watu 10. Vikosi vya usalama Kananga vimekabiliana na wapiganaji wanaotaka kulipiza kisasi mauaji ya kiongozi wao aliyeuawa na jeshi mwezi Agosti, maafisa na vyo…
RAISI MAGUFURI AJARIBIWA AMTUPA LUPANGO MHADHIRI CHUO KIKUU

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (Muce), Dk Oscar Magava (48). Dk Magava amekuwa mtu wa ku…
JAKAYA MRISHO KIKWETE AZIDI KUNG'ARA KIMATAIFA

Shirika lisilo la Kiserikali laSpeak Up for Afrika limemtunukia tuzo, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na uongozi wake wa kisiasa na utetezi wake kwa makundi ya jamii yaliyo katika mazingira magumu hususani wanawa…
BODI YA HABARI WA MWACHIA UONGOZI RAISI MAGUFURI

Bodi ya Uhuru Media Group inayosimamia vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambavyo ni Uhuru Publications Limited (UPL) wachapishaji wa Mazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na kampuni ya …
WATU WADHULUMA KUPITIA IKULU

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imewatahadharisha wananchi kuwa kuna watu wametumia nembo ya kurugenzi hiyo na jina la Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, na kuchapisha kisha kusambaza kwa barua kwa kampuni binafsi n…
ISLAM SLIMANI SIO KAMA POGBA WA MAN U

Islam Slimani, nyota wa kimataifa wa Algeria aliyesajiliwa kwa paundi mil 29 kutoka Sporting Lisbon ndiye alikuwa nyota wa mchezo. …
Cesc Fabregas ni mchezaji wakusugua benchi tanga aende chelsea

Msimu wa ligi kuu England umekuwa mgumu sana kwa Cesc Fabregas tangua uanze amecheza mechi moja tu kati ya chelsea na Liverpool napo aliingia dakika za majeruhi na kuonesha kiwango kizuri katika uwanja wa Stamford Bridge am …
KATIBU MKUU UVCCM ATABIRIWA MAKUBWA NA DR WA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es laama aliyebobea katika fani ya sayansi ya jamii Dk Bashiru Ally amemtaja Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka kama ni mwanasiasa kijana anayechipukia, akijiamini na kujituma kwa bidii.Amesema viten …
MIHOGO YA KUCHEMSHWA CHANZO CHA KISUKARI
hii ni taarifa ya kushtua kuhusiana na masuala ya afya, hasa kwa wakazi wa mijini. Ni kwamba mihogo ya kukaanga maarufu kama ‘chips dume’ ni miongoni mwa vyakula vilivyobainika kuwa vinaweza kuwa chanzo cha aina mojawapo ya maradhi ya kisukri (type …
WAZIRI NAPE NAUYE ATOA 1.5 MILLION KWA SERENGETI BOYS
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameahidi kutoa kiasi cha sh Millioni moja kwa kila goli litakalofungwa na Serengeti Boys katika mechi ya marudiano nchini Congo Brazaville.…
KUGAWANYA MANISPAA YA KINONDONI MEYA WA CHADEMA APOTEZA NAFASI YAKE KUWA MEYA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli amevunja Baraza la Madiwani rasmi baada ya serikali kuigawa manispaa hiyo kuwa mbili. Kagurumjuli alilivunja juzi…
LOWASSA KUMCHAFUA LIPUMBA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI

Edward Lowassa, anajiandaa kuweka wazi ushiriki wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba katika mchakato wake wa kuhamia Chadema mpaka kuwa mgombea urais. …
UVCCM WALITAKA JESHI KUFANYA KAZI KAGERA

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) umeishauri Serikali kuwachia askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kazi ya uhakiki na ugawaji wa misaada yote kwa waathirik …
RAISI JOHN POMBE MAGUFURI APOKEA MSAADA ZAIDI

Rais Magufuli amepokea mchango wa fedha taslimu kiasi cha Dola za Kimarekani laki mbili (USD-200,000/-) sawa na takribani Shilingi za Kitanzania Milioni Mia nne na therathini na saba (Tshs-437,000,000/-) kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yow…
RAISI JOHN POMBE MAGUFURI ANAKUBALIKA KWA 96%

Asilimia 96 ya watanania wanamkubali Rais Magufuli, na asilimia 88 ya wananchi Tanzania wameonesha imani ya kuwa Rais Magufuli ataendelea na kasi aliyoanza nayo katika uwajibikaji. …