
Ghasia za siku mbili katika mji wa Jamhuri ya kidemorasi ya Congo zimesababisha vifo vya watu 10. Vikosi vya usalama Kananga vimekabiliana na wapiganaji wanaotaka kulipiza kisasi mauaji ya kiongozi wao aliyeuawa na jeshi mwezi Agosti, maafisa na vyo…