Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo M …
CCM MBELE KWA MBELE MWANZA WAZIDI KUITEKA BAADA YA MWENYEKITI WA CHADEMA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo Chedema mkoa wa Mwanza Andrian Tizeba, leo amejiunga rasmi na CCM wilayani Sengerema tawi la Lugata.…
CCM WACHUKUA JIMBO LINGINE AMBALO WALITANGAZA UPINZANI KUSHINDA ZANZIBAR

Ofisa mdhamini wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Ali Mohammed Dadi amesema mshindi wa uwakilishi katika Jimbo la Ziwani ni Suleiman Ali wa CCM na si Asaa Hamad wa UPDP aliy…
STEPHANO MWANDIGA KUANZA KUSAKA JIMBO LA MBEYA VIJIJINI KWA KASI YA AJABU

Chaguo la wanambeya vijijini Stephano Mwandiga ametangaza kuendeleza harakati zake za kukomboa mbeya vijijini hii ni baada ya kuang …
TAZAMA VIDEO Mh. EDWARD LOWASSA AKIWA KATIKA UBORA WAKE KAMA Dr MAGUFURI

WATCH VIDEO here …
MAAZIMI0 YA CHADEMA 1,2016 JIJINI DAR ES SALAAM NI PAMOJA NA UDIKTETE WA RAISI MAGUFURI

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA ILIYOKUTANA MACHI 1, 2006, JIJINI DAR ES SALAAM Kamati Kuu ya Chama imesema kuwa tangu utawala wa awamu ya tano chini ya Serikali ya CCM ikiongozwa na Rais John…
ZANZIBAR HALI TETE CUF WAKO TAYARI KWA MAZUNGUMZO ZEC UCHAGUZI KURUDIWA

Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharrif Hamad amehoji sababu za chama tawala, CCM kuhofia CUF kuongoza visiwa hivyo. Maalim Seif, ambaye aligombea urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 25 ambao matokeo yake yalifutwa, pia amesema endapo …
CHADEMA NA MKAKATI MPYA KUTEKA UMEYA DAR

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyojifungia kwa siku moja, imeazimia iundwe …
LOWASSA ASITHUBU KUGOMBEA URAISI MAGUFURI AMEMUACHA MBALI SANA KWA KUKUBALIKA

Matokeo ya utafiti mpya uliofanywa mapema mwezi huu yanaonyesha kuwa umaarufu wa Rais …
JE HILI BARAZA LA MBOWE NI BORA KULIKO LA MAGUFURI 2016 ?

Mbowe, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chadema ametaja baraza lake ambalo litakuwa na lengo la kuishinikiza serikali ya Rais Magufuli kutimiza kile alichoahidi kwa Watanzania. …
CHADEMA KUONGOZWA KWA ILANI YA CHADEMA

Akikabidhi ilani hiyo katika Ofisi za Manispaa kwa niaba ya chama, Mratibu wa Chadema Kanda ya Pwani, Kasmil Mabina amesema, anamkabidhi meya ili aweze kutekeleza ahadi za Chadema kwa wananchi kwa kuwa yeye ndiye muwakilishi wao. Ilani hiyo imeorodh…
CCM; VITA NDANI YA CCM NI WASOMI NA BENARD MEMBE

SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa habari, nimewaita hapa kuelezea masikitiko makubwa kutokana na kauli za hivi karibuni za aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndugu Bernard Membe. …
CHADEMA : CCM IMEPOTEZA MUELEKEO IFUTWE

Baraza la Viajana wa Chadema (Bavicha) limemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini kutoa tamko kuhusu vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyooneshwa na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa sherehe za maadhimisho ya Mapinzuzi ya Z…
KASIMU MAJALIWA AMFUATA SUMAYE NA BALOZI MUHIMBILI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakimjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu …
UINGEREZA KIKAANGONI KUWANYANYASA WAPENZI WA JINSIA MOJA

Zaidi ya viongozi wakuu mia moja wa kanisa la Kianglikana wametia saini barua ya kulitaka kanisa la Uingereza kutubu kwa kuwabagua wakristo wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, watu wanaoshiriki mapenzi na jinsia zote mbili na wale walio na jinsia m…
CCM WAKUBALI YA ISHE UMEYA DAR ES SALAAM WAKIMBILIA MAHAKAMANI

Zoezi la uchaguzi ambalo lilipaswa kwenda sambamba na uapishwaji wa Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni na Ilala umeahirishwa kwa zuio la Mahakama ya Kisutu.Akisoma zuio hilo Mwanasheria wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Burton Mahenge amesema a…
NINI KINAENDELEA CHADEMA BAADA YA UCHAGUZI

Katika utaratibu wake wa kujipanga na kuendelea kutekeleza mikakati na malengo ya muda mfupi na muda mrefu kwa ajili ya kufikia lengo kuu la kushinda uchaguzi, kushika dola na kuongoza serikali kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, Chama cha Demokrasia…