Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo M
he. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Kilimanjaro kilichopo kata ya Mtumbya ikiwa muendelezo wa mikutano yake ya kila kijiji katika jimbo lake ambapo alizungumzia utekelezaji wa ahadi alizoahidi na kuwahakikishia wananchi hao kuwa ahadi zake zitakamilika mapema mno.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Mpenda ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa barabara ya kutoka Mtama, kupitia Mpenda , Mtumbya kwenda Kilimanjaro mkandarasi ameshapatikana na ataanza kazi hiyo mara moja na kuwahakikishia kuwa pamoja na kuwepo miradi mikubwa ya maji lakini Mpenda na Kilimanjaro watapata visima mapema.
Related Posts
CUF WAJIBU BAADA YA LIPUMBA KUTANGAZWA KUWA MWENYEKITI
Baada ya kupokea Ushauri huo, The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kinapenda kueleza[...]
Sep 24, 2016LIPUMBA APEWA WENYEKITI CUF
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba bado[...]
Sep 24, 2016KWA USHUJAA HUU CHADEMA WANATAKIWA KUIGWA
September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama[...]
Sep 24, 2016VIONGOZI WA DINI WA WASHAMBULIA CHADEMA
Viongozi wa Dini nchini, wamesema Rais JOHN MAGUFULI Hajakataa kuzungumza wala kuwapuuza viongozi[...]
Sep 24, 2016NCHI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE IMEZUKA KANANGA
Ghasia za siku mbili katika mji wa Jamhuri ya kidemorasi ya Congo zimesababisha vifo vya watu 10.[...]
Sep 24, 2016CCM MBELE KWA MBELE MWANZA WAZIDI KUITEKA BAADA YA MWENYEKITI WA CHADEMA KUHAMIA CCM
Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo Chedema mkoa wa Mwanza Andrian Tizeba, le[...]
Apr 16, 2016CCM WACHUKUA JIMBO LINGINE AMBALO WALITANGAZA UPINZANI KUSHINDA ZANZIBAR
Ofisa mdhamini wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Ali Mohammed Dadi amesema mshindi wa uwakili[...]
Mar 24, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.