Chaguo la wanambeya vijijini Stephano Mwandiga ametangaza
kuendeleza harakati zake za kukomboa mbeya vijijini hii ni baada ya kuang
ushwa
kwenye kura za maoni na Adamu Zela
nakushika nafasi ya pili.
Baada ya hapo
palikuwa na tuhuma nyingi juu yake ambazo hazinauthibitisho kwamba alitaka
kuama chadema na pia kutotoa ushirikiano kwa aliyepitishwa kugombea ubunge
mbeya vijijini bwana Adamu zeala lakini
mwandiga alijibu kwamba alifanya siasa za kikanda.
Mwandiga
ametangaza kufanya mkutano mkubwa siku ya juma tatu na
kuendeleza harakati zake za kusaka ubunge Mwandiga ameandika
“juma tatu nitakuwa
ndani ya jimbo nikizindua harakati mpya kabisa ndani ya jimbo na propaganda hii
inaitwa “KUMBUKA NYUMBANI” naomba mniunge mkono kwa hali na mali na muda wenu
Mh Stephano
Mwandiga 202-2025”
Na pia Mwandiga
amesema na aliyekuwa mgombea wa chadema katika jimbo ilo atakuwepo Adam
Zela pia bila kusahau wengi waliokuwa
katika kinyanyiro icho ni Daud Mponzi,
Edson Jisandu, Adam Zela, Anthony Mwaselela Hadson Sheyo, Benson Mwamengo, Frank
Mwaisumbe Christina Kalisoto, William Msokwa, Elias Songela na Jeremiah Mwaweza.em
Related Posts
CUF WAJIBU BAADA YA LIPUMBA KUTANGAZWA KUWA MWENYEKITI
Baada ya kupokea Ushauri huo, The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kinapenda kueleza[...]
Sep 24, 2016LIPUMBA APEWA WENYEKITI CUF
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba bado[...]
Sep 24, 2016KWA USHUJAA HUU CHADEMA WANATAKIWA KUIGWA
September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama[...]
Sep 24, 2016VIONGOZI WA DINI WA WASHAMBULIA CHADEMA
Viongozi wa Dini nchini, wamesema Rais JOHN MAGUFULI Hajakataa kuzungumza wala kuwapuuza viongozi[...]
Sep 24, 2016NCHI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE IMEZUKA KANANGA
Ghasia za siku mbili katika mji wa Jamhuri ya kidemorasi ya Congo zimesababisha vifo vya watu 10.[...]
Sep 24, 2016NAPE AKIMBILIA JIMBONI KWAKE KUONGEA NA WANANCHI
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo M he. Nape[...]
May 29, 2016CCM MBELE KWA MBELE MWANZA WAZIDI KUITEKA BAADA YA MWENYEKITI WA CHADEMA KUHAMIA CCM
Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo Chedema mkoa wa Mwanza Andrian Tizeba, le[...]
Apr 16, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.