0

David Robert Jones kwa jina maarufu  David Bowie  ameaga dunia  alizaliwa 8 January 1947  na kufariki 10 January 2016 hii inamaana amefariki akiwa na umri miaka 69 na amesumbuliwa na ugonjwa  wa
saratani kwa muda mrefu mpaka mauti yalipo mfika.
Mwanawe Duncan Jones amethibitisha kifo chake na kutoa taarifa rasmi katika mitandao yake ya kijamii.
David Bowie alifariki nyumbani kwake, akiwa na familia yake.Bowi amekuwa akiuguza ugonjwa huo kwa muda wa miezi kumi na minane.
Amemalizia kutoa wito kwa mashabiki wake kwamba wanaomboleza pamoja.
Pia amewaishiriki filamu mbili  mwaka 1972 nazo ni The rise and Fall of Ziggy Stardust na  Spiders from Mars

nyimbo zake zilizotamba ni Rebel Life on Mars , Under Pressure,Let's Dance, Space Odditty,  ,Suffragette City. Na Heroes,

Na mara ya mwisho kupanda jukwaani ni mwaka 2006 katika mji wa New york  na ilikuwanikuchangisha pesa kusaidia watu.

kutazama short story yake angalia video hapa




Post a Comment

 
Top