0

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva  alitoa tamko juu ya kurudiauchaguzi  alipokuwa jijini Dar es Salaam unaotar
ajiwa kufanyika Tarehe 13/12/2015 katika jimbo Handeni na Arusha Mjini. Arusha ikiwa ni ngome ambayo inajulikana  ni ya chadema huku Ccm nao wakijinadi kwamba watanzania wamekubali mabadiliko ndani ya ccm ivyo chadema hawana chao.
Kwa upande Handeni Ccm wanahukika wakuchukua jimbo ilo mapema lakini napo Ukawa wamejipanga kuchukua jimbo kwa kivuli cha Ukawa ebu tusubir kesho kutwa


Post a Comment

 
Top