0
Waislamu wameonesha upendo kwa wakristo baada yakugoma kujigawa miongoni mwao kuwa wapi wakristo na wapi waislamu
kwani kumbu kumbu nzuri ni matukio mawili
1.Novemba mwaka jana Al Shabaab waliteka basi moja na kuwaua abiria 28 ambao wote ni wakristo nakuacha waislamu hai
2.ni mwezi  Aprili lilipowaua wanafunzi wakristo 148 katika chuo kikuu cha Garissa nchini kenya.

Lakini tukio hilo limepelekea watu kuuwawa na  wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya wapiganaji wa kundi la al Shabaab kushambulia basi moja la abiria lilokuwa likielekea eneo la Mandera Kaskazini mwa kenya kutoka Nairobi.
Wasafiri waislamu nchini Kenya walilazimika kuingilia kati kuokoa maisha ya wakristo waliokuwa nao katika basi lililotekwa na wapiganaji wa Al shabaab.
Waislamu hao walitahamaki walipotekwa na wapiganaji wa Al Shabaab kisha wakaanza kutenganishwa katika makundi mawili ya waislamu na wasio waislamu.



Post a Comment

 
Top