Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifanya mahojiano na waandishi wa
Habari leo baada ya kumalizika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo
la Soko la Mbogambo
ga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitandaza kifusi kwa kukiweka sawa katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizoa taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibeba taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B.Unguja Ayoub Maohammed Mahmoud wakati zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Post a Comment