Mgogoro wa kibiashara kati ya Marekani na afrika kusini kwa
malalamiko
yaliyotoka Afrika Kusini
kusema kuku na nguruwe. Na marekani walikuwa wa kiingiza hizo bidhaa
bila kulipa kodi chini ya makubaliano ya Agoa licha ya ivyo Afrika kusini
walikubali ziingizwe tani 65,000 za kuku
zitauzwa nchini Afrika Kusini. Raisi
Barack Obama ametsema kufika mwezi machi kama Afrika Kusini watashindwa
kuruhusu bidhaa hizo kuingia Afrika Kusini basi bidhaa za kilimo zitokazo
Afrika kusini zilipiwe ushuru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment