Raisi wa Zimbabwe Robert Mughabe yeye ndio samba wa Africa ni
baada ya kuunguruma
kwenye mkutano wa umoja Africa unaofanyika Addis Ababa
ambao ameonekana kutolizishwa na uendeshwaji wa UN ambapo amedai Africa kuwa na
wakilishi wawili kwenye umoja huo katika maswala ya usalama. Kwani Africa ina
wanachama zaidi ya 50 sasa kwanini isiwe na muwakilishi ?. Mugabe alisema hayo
huku akishangiliwa na viongozi wenzake,
Pia amepongoze Ban Ki Moon ambaye ni katibu mkuu wa umoja
huo kwa kuangalizia maswala ya Africa kiundani
Post a Comment