SHIRIKISHO LA VYUO ELIMU YA JUU WA WEKA KAMBI LUMUMBA
M Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es salaam
chini ya Mwenyekiti wake bi Zainab Abdallah(Mnec). Viongozi wengine wanaohudhuria kikao hicho ni Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho Ndg. Hamid Mhina (Mnec), Katibu Mtendaji Ally S. Hapi, Katibu mtendaji Daniel Zenda, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM taifa kutoka Shirikisho Joseph Chitinka,Katibu uchumi na Fedha Richard Luhende, katibu wa siasa na uenezi Fikiri Mzome na katibu wa uhamasishaji Mganwa Nzota.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.