0
Saud Arabia hali ni mbaya tofauti na unavyofikilia kwa sasa kwani kuna wtu 25 na wengine 107 kujeruiwa  kwenye kisa cha moto uliotokea hospitali moja iliyo jazan nchini humo
Moto huo ulitokea katika gorofa ya pili ya hospitali ya jazan ambapo vyumba vya kujifungua na vile vya wagonjwa mahututi vipo mapema leo Alhamisi .
Walionusurika na majeruhi wamehamishwa kupelekwa katika hospitali zing
ine.
Haijabainika kile kilicho sababisha moto huo na sasa uchunguzi unandelea .

Lakini hudum ya dharula ilizima moto huo moto  japo wakufanikiwa asilimia mia
kila siku la Okaz zinaonesha mabaki ya hospitali hiyo yaliyotekekea na kuharibika kabisa.
Mji wa wa Jazan uko karibu na mpaka wa Saudia na Yemen taifa ambalo limesakamawa na vita kati wenyewe kwa wenyewe.

Jeshi la Saudia linasaidia majeshi ya serikali ya Yemen kupamabana na uasi ulioanzishwa na kundi la waasi wa Houthi.
Mapema mwezi huu kombora lililokuwa likielekea Jazan lilidunguliwa na majeshi ya Saudia hata hivyo hivyo haijabainika kufikia sasa iwapo moto huo unauhusiano wowote na mapigano yanayoendelea huko Yemen.


Post a Comment

 
Top