0

Ajali zimeanza tena mwisho ni  basi la New Force lilikuwa linatokea jijini Dar es Salaam kuelekea  mkoani Mbeya limegongana na gari ya mizigo aina
ya lori katika mkoa wa Iringa igeme ilolo ambapo imepelekea abiria kumi na mbili(12 ) kufariki dunia hapo papo huku abiria 28 ambao wamewaishwa hospitali ya mko wa iringa
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limethibisha kutokea ajali hiyo  lkn madereva wa basi na lori ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika ajali hiyo na uchunguzi unaendelea.

Post a Comment

 
Top