0
mwanafunzi wa chuo kikuu UDSM amepogwa na risasi na kufariki dunia
. Mwanafunzi huyo aliyekuwa Naibu Waziri wa Miundombinu na Usafirishaji MU
TAENGERWA MAFWIR alishambulowa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi jioni ya tarehe 15, December 2015 mamaz blog imefatilia tukio hilo bila majibu ya kulizisha na pakiwa na maelekezo tofauti mpaka kushindwa kuandika nini sababu au ilikuwa je kapigwa risasi

tulipokutana na Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-DARUSO walishindwa kutoa majibu ambapo waziri wa mambo ya nje alisema " DARUSO inaendelea kufuatilia kwa karibu tukio hilo ili kuweza kuendelea kutoa muendelezo wa taarifa za tukio hilo kama zitakavyokuwa zinatolewa na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na mashuhuda.

Roho ya marehemu ilazwe mahala pema, Amiin. "

Mwanafunzi huyo amegusa sana hisia za watu za watu kwani alikuwa ni mwaka wa mwisho (COET) ambayo ni idara ya enginering ambapo course yake ilikuwa inamiaka minne na huu ulikuwa mwaka wa nne kwake.
Roho inaniuma sana nikitafakari wazazi na walivyojitolea cjui watazipokea vipi hizi habari maana ni pigo kwa familia yake alisema miongoni mwa wanafunzi wa chuo kikuu UDSM

MUNGU ALAZE PEMA PEPONI ROHO YA KIJANA HUYU

Post a Comment

 
Top