Raisi John Pombe Magufuri amekuwa ni rahisi wa vitendo na hii ni baada ya kupiga marufuku misafara nje ya nchi kwa viongozi akiwemo na yeye
kutoka nje ya nchi mara kwa mara ameshindwa kwenda ufaransa na ametoa salamu za pole kwa balozi wa ufaransa anayeishi nchini Tanzania
picha juu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Post a Comment