Leo Tanzania imekuwa ni siku ya huzuni kubwa baada ya kupoteza watanzania kwa tetemeko la ardhi lilitokea Bukob
a Idadi ya vifo vya watu waliofariki imethibitishwa na Kamanda wa polisi Kagera Augustine Olomi ametaja kuwa imefikia vifo vya watu nane na majeruhi zaidi ya 100.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment