0


Baada ya vifo vya wanafunzi katika chuo kikuu Garissa 148 tukio lilifanywa na wanamgambo wa al-shabab mnamno alhamisi tarehe 5-april mwaka jana
Lakini lijawakatisha tama wa Kenya na serikali yake ni baada serikali ya nchini humo kutangaza kufunguliwa chuo icho kupitia kwa Naibu Rais William Ruto  ambapo alitangaza  mapema Desemba baada ya kukutana na viongozi wa kisiasa wa eneo hilo na kutangaza kimefunguliwa katika muda wa wiki mbili lakini wasimamizi ndio wamepanga kifunguliwe mwaka huu kwani maamuzi ya kufungua aliwapa wasimamizi wa chuo icho na kinafunguliwa kesho na wanaotarajiwa kufika chuo kesho ni wafanyakazi wote na walimu wataanza kufika tarehe 11, January
Huku wanafunzi wengine waliamishwa vyuo vishiriki kama Chuo Kikuu cha Moi walijiunga huku vyuo vingine vishiriki ni Eldoret na wasimamizi wa chuo kikuu hicho cha Eldoret lakini ikumbukwe chuo kikuuu cha Garasia kilikuwa na wanafunzi zaidi ya 800
Huku serikali ikitunisha misuri na kusema usalama umeimarishwa chuoni, na kituo cha polisi kimejengwa ndani ya chuo kikuu hicho kutoa ulinzi.
.



Post a Comment

 
Top