baada ya kutiwa mikononi mwa polisi baada ya kutafutwa kwa muda usio pungua miezi sita ni nchini Mexico "El Chapo" Guzman. Amekatwa na polisi katika hotelini na wafuasi wake ambayo ni mji wa Los Mochis katika jimbo la Sinaloa, ambalo ni kituo kikuu cha harakati za mifumo ya biashara za mihadarati. Na mfanyabiashara huyo alikuwa anataka kutoroka kupitia mtaro lakini alikamatwa kikosi cha wanamaji alipokuwa akitoroka kwenye gari lake.
MFANYABIASHARA MADAWA YA KULEVYA AKAMATWA MEXICO
baada ya kutiwa mikononi mwa polisi baada ya kutafutwa kwa muda usio pungua miezi sita ni nchini Mexico "El Chapo" Guzman. Amekatwa na polisi katika hotelini na wafuasi wake ambayo ni mji wa Los Mochis katika jimbo la Sinaloa, ambalo ni kituo kikuu cha harakati za mifumo ya biashara za mihadarati. Na mfanyabiashara huyo alikuwa anataka kutoroka kupitia mtaro lakini alikamatwa kikosi cha wanamaji alipokuwa akitoroka kwenye gari lake.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.