0
Mahakama ya kanda jijini Mwanza imeona Kiwia ameonekana kupoteza muda  imeamua ifute rasmi kesi ya madai ya kupinga m
atokeo ya uchaguzi wa mbunge jimbo la Ilemela.
 Sababu ya kufuta ni, Hynes Kiwia kutaka kupunguziwa gharama za kuendesha kesi hiyo.

Katika shauri hilo lililofunguliwa mwaka jana Hyness Kiwia aliyekuwa mbunge wa jimbo la ilemela aliwashitaki Angelina Sylivester Mabula ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo hilo.


Shauri hilo limefutwa na msajili wa mahakama kuu kanda ya mwanza Eugenia gerald na kushuhudiwa na mawakili wa pande zote mbili

Post a Comment

 
Top