0

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imetangaza kulifungia gazeti la
Mawio linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd kutokana na kukiuka maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa tarehe 15, January, 2016, imeeleza kuwa gazeti husika halitoruhusiwa kuchapisha nakala zake kokote, iwe ni nakala ngumu (hard copy) au mtandaoni (electronic).


Post a Comment

 
Top