Trump mahojiano na CNN baada ya kukashifu sera za kidiplomasia za rais Barrack Obama
Trump alisema kuwa
maafa yanayoendelea Mashariki ya Kati yalichangiwa asili mia mia moja na sera
haribifu za rais Ob
ama na bi Hillary Clinton.
''Japo
tunamlaumu Maummar Gaddafi unadhani angekuwa hai magaidi wangekuwa huko? La.'
'Angalia
kwa makini hakuna Libya.'
'Libya
tuliyoijua sasa imesambaratika kabisa'.
'Saddam
Hussein alikuwa mtawala wa kiimla na tulijua kuwa hangeliwaruhusu magaidi
kunawiri huko Iraq.'
Sasa Iraq ndio
Havard ama chuo kikuu zaidi cha ugaidi duniani.
'Kama
ni maswala ya ukiukaji wa haki za kibinadamu.'
'Kwa
hakika hali ilivyo sasa ni mbaya zaidi kuliko tulivyodhania wakati huo.'
Bwenyenye
huyo anayetarajiwa kutwaa tikiti ya kuwania urais ya chama hicho cha Republican
amesema kuwa anapania kuimarisha hadhi ya Marekani.
Aidha amesema kipengee muhimu katika utawala wake utakuwa
kuimarisha uwezo wa Marekani kijeshi.
Trump
amemlaumu Obama kwa kugawanya taifa.
Amesema
kuwa nia ya utawal wake itakuwa kuwaunganisha wamarekani wote bila kujali
tabaka.
Post a Comment