Amiri jeshi mkuu wa Zanzibar Dr Sheikhn amesema uchaguzi zanzibar u narudiwa tusubiri tarehe kamili ya kurudia uchaguzi amesema
“Tume ya Uchaguzi iliufuta uchaguzi wa Zanzibar tarehe 28 Oktoba, 2015, baada ya kubainika kutokea kwa kasoro kadhaa kama zilivyoelezwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar. Nawaomba wananchi waendelee kuishi kwa amani na kupendana huku tukisubiri Tume ya Uchaguzi Zanzibar itangaze tarehe nyengine ya kurudia uchaguzi.”
mama Samia akisalimia na raisi mstaafu awamu ya nne Jakaya Kikwete
raisi Magufuri akiingia katika sherehe izo za mapinduzi ya zanzibar
baadhi ya wananchi walio uzuria katika shere hizo za Zanzibar
Post a Comment