Watu zaidi ya 30 wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari
walilokuwa wanasafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupata ajali. Kaman
da wa Polisi mkoa wa Singida amesema “, Thobias Sedoyeka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ila kwa kuwa alikuwa kwenye eneo la uokoaji na miili ilikuwa bado inaopolewa hakuweza kutaja idadi halisi akiahidi kutoa idadi hiyo baadaye.”

.
Post a Comment