0



wamekufa baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso katika barabara ya iringa morogoro  kwenye mbuga ya Wanyama ya Mikumi na kusaba
bisha foleni ya magari. Tukio hili limetokea alfajiri yajana tarehe 4 Desemba 2015.
Dereva wa fuso ilo anashikiliwa na jeshi la polisi na hii ni baada ya kutozingatia alama za barabarani na kuingiza hasara kubwa taifa na pia afisa wa wanyama pori ameombwa ufanyike ujenzi wa barabara nje ya hifadhi hiyo



Post a Comment

 
Top