tafiti uliofanyika umekuja na majibu tayari,
Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa utajiri sasa hivi ndani ya Afrika… South
Africa iko nafasi ya pili alafu zinafuatia nchi nyingine.
1:
Nigeria,
hii ina sifa nyingine
kubwa kuwa nchi inayoongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi
Afrika, na pia utajiri wake unatokana sana na uzalishaji wa mafuta.
.2: South Africa, sehemu kubwa ya Utajiri
wao inatokana na uchimbaji wa madini.
3: Misri u
4: Algeria, nao wako kwenye list ya
wauzaji wakubwa wa mafuta na gesi.
5: Morocco, uwekezaji wao mkubwa uko
kwenye Utalii, viwanda vya nguo na Kilimo.
6: Sudan.. sio rahisi kukutana na
nguo imeandikwa ‘Made in Sudan’, lakini wao ni wauzaji wakubwa sana wa pamba
duniani.
7: Kenya, biashara yao kubwa ni chai
na kahawa.. sikuwahi kujua kumbe hata biashara ya kuuza maua kwenda Ulaya nayo
ni biashara inayoingiza pesa nyingi Kenya.
8: Angola.. japo walipitia kipindi
kigumu cha vita kwa zaidi ya miaka 25, bado madini, mafuta na kilimo vimeiweka
nchi hiyo ndani ya Top 10 ya nchi tajiri Afrika.
9: Libya.. Hii ndio nchi ya kwanza
Afrika ambayo wataalam wamesema kuwa ina akiba kubwa ya mafuta ndani ya Afrika
mpaka sasa, na hiyo ndio inayoiingizia nchi hiyo pesa nyingi zaidi kila siku.
10:
Tunisia.. wao biashara yao kubwa ni
spare za magari, kuuza mafuta na utalii
Post a Comment