jeshi linasema “wapiganaji wa kundi la ISIS walionekana kusalimu amri na kuondoka wenyewe kwenye makao makuu ya mji wa Ramadi ambalo ni eneo muhimu katika mapigano ya wiki nzima ya jeshi la Iraq na wanamgambo hao”
Wapiganaji hao wamekuwa wakiutumia eneo hilo kupanga mashambulizi yao dhidi ya jeshi la Iraq katika kupigania kutawala mji huo.
Jeshi limeingia kwenye moja ya majengo ya ofisi hizo lakini wamekuwa na wasiwasi huenda wapiganaji wa ISIS wameweka mabomu ya kutegesha kuzunguka majumba hayo.
Post a Comment