0
Boko Haram kwisha abari yake ni raisi Rais wa Nigeria, Mohammadu Buhari kuwa majeshi yanakribia  kusambaratisha kundi la kiislamu amesema “ameeleza kuwa kundi hilo halina uwezo tena wa kufanya mashambuliz
i dhidi ya majeshi ya serikali ama maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na kwamba visa vya kujitoa muhanga vimepungua
Buhari ameeleza kuwa kundi hilo awali lilikuwa na umoja ingawa kwa sasa limesambaratishwa vibaya katika majimbo ya Adamawa na Yobe na kusalia katika jimbo la Borno ambayo ndiyo ngome yao kuu .”
Boko Haram wanaripotiwa kuendesha mashambulizi zaidi ya mia moja na kuua watu zaidi ya elfu moja katika kipindi cha miezi miwili iliyopita .

Ikumbukwe kwamba ,wakati wa kampeni zake kuelekea uchaguzi nchini Nigeria,Rais Buhari alitoa ahadi ya kupambana na kundi la Boko Haram mpaka kufikia mwisho wa mwaka huu.

Post a Comment

 
Top