0
Mimi kwa upande wangu sina wasiwasi na uteuzi wa mawaziri wa magufuri kwa sababu ninaimani yeyote mwenye kufanya ujinga atatimuliwa wakati wowote lakini nachocharibu kuandika ni hisia za watu au watanz
ania baada ya kusikia baraza hili

         Uteuzi wa mawaziri waliopita mapaka sasa ni kumi na tatu (13) kama  sijakosea ukijumlisha wakina mwigulu, Makamba, Lukuvi, Mwakyembe, Hussein Mwinyi na Majaliwa watanzania wanasema huo ni mfumo wa kufuga ubovu na kufanya kazi kwa Mazoea


      Kulipa fadhila kwa chama cha mapinduzi, Mh Rais wa Jamuhuri ya muungano ameonekana kulipa fadhilila kwa watu walio msaidia kupiga kapeni mfano Nape Nauye, Mwigulu, Lukuvi na January makamba ambao hao atakwenye timu ya ushindi walikuwepo katika kampeni.

        kuwaamini mawaziri ambao Raisi wa awamu ya nne Jakaya kikwete alishindwa kuwaamini Kuanzia waziri mkuu Majaliwa, Mwigulu alikuwa naibu waziri Fedha amempa uwaziri Kamili, January makamba alikuwa bnaibu waziri mawasiliano saizi ni waziri kamili. Hii inaonesha kwamba ambae ameonekana kuwa na makosa zaidi JK ambao alialibiwa nahao mawaziri yeye amewaamini zaidi.

        Kuwapa mawaziri wenye kashifa waziri hapa Sana watu wamekuwa wakimzungumzia sana mwakyembe kwamba bandaria lishindwa kuongoza ndio kumeonekana kuna wizi wa ajabu na bado kapewa uwaziri wa katiba na sheria.


      Matarajio ya upinzani wa pinzani wengi au watanzania wengi walitegemea kwamba mh magufuri atachagua baraza mchanganyiko akiwa na wapinzani lkn imekuwa tofauti

Lakini swali la kujiuliza katiba inaruhusu ? na je atafanya kazi vipi na watu wasiotaka hatakushirikiana nae ? 

          MWISHO WA MAKALA HII NAPENDA KUSEMA MH MAGUFURI NI MTU MAKINI NA TUTAONA KASI YAKE KWA MAWAZIRI ALIOWAPA  HAPA KAZI TU


Post a Comment

 
Top