Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimwa
pisha George Masaju, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali,wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Okt. 6, 2015Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,(kushoto) akizungumza jambo na Jaji Mkuu wa Serikali, Othman Chande (katikati) wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam
Post a Comment