Mkapa amesema wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa na chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.
viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli.
Ambapo imepelekea watu kuongelea hiyo kauli kila sehemu na kuzika hoja zote zilizotolewa
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.