0


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Ambapo akiwa ni sehemu yake ya kuelezea aliyoyafanya na kwanini anaitaka ikulu tena.
 Moja ya waliuzulia amesema lazima Chein arudi ikulu kwa kishindo ilikuondoka kuunda serikali ya mchanganyiko wa vyama.

Post a Comment

 
Top