0
HADITHI :MAPITO NA RAHA ZA DUNIA SEHEMU (12-13)HADITHI :MAPITO NA RAHA ZA DUNIA SEHEMU (12-13)

SEHEMU YA 12 Mtunzi. Long live Josephat "Ilipoishia toleo lililopita vibweka vinamkumba habiba usiku ule usiku unakua mrefu kwake anaamua kumsaidia mdada aliyeumia huku akiwa anavuja damu baadae anamuuliza kilichomsibu yule dada, d …

Read more »

0
HADITHI: MAPITO NA RAHA ZA DUNIA  SEHEMU [7-10]HADITHI: MAPITO NA RAHA ZA DUNIA SEHEMU [7-10]

Sehemu ya 7 Mtunzi. Long live josephat Ilipoishia toleo lililopita,......... ..." habiba anaanguka nusura azirai  baada yakutajiwa majibu ya vipimo vya ukimwi alivyopima,  hali inabadilika baada yakugundua kua sio vipimo vyake na kwamba si kweli kua…

Read more »

0
HADITHI: MAPITO NA RAHA ZA DUNIA {1-2}HADITHI: MAPITO NA RAHA ZA DUNIA {1-2}

SEHEMU YA 1 "Maisha huwa magumu pale unapopenda usipo pendwa,lakini huwa magumu zaid pale unapo kataa kukubali kua hupendwi, daa. …

Read more »

0
HADITHI :MAPITO NA RAHA ZA DUNIA {3-4}HADITHI :MAPITO NA RAHA ZA DUNIA {3-4}

Sehemu ya 3 Mtunzi.  Long live josephat Ilipoishia toleo lilopita, habiba anamdadisi james kuhusu kevi, baada ya james kumwambia kua anamfahamu kevi na kwamba kevi anasifa mbaya, habiba anatamani kujua sifa za kevi lakini, ghafla gari inatokea james…

Read more »

0
HADITHI: MAPITO NA RAHA ZA DUNIA SEHEMU YA {5-6}HADITHI: MAPITO NA RAHA ZA DUNIA SEHEMU YA {5-6}

Sehemu ya 5 Ilipoishia toleo lililopita." Habiba anafahamu anapokaa kevi baada yakujulishwa na james, hata ivyo habiba anasumbuliwa na simu iliyopigwa, kwa kuto kufahamu hili wala lile anaamua, kukubali kwenda kukutana na mtu aliempigia simu, kabla …

Read more »

0
MAPITO YA RAHA NA TABU ZA DUNIA SEHEMU KWANZA MAPITO YA RAHA NA TABU ZA DUNIA SEHEMU KWANZA

"Maisha huwa magumu pale unapopenda usipo pendwa,lakini huwa magumu zaid pale unapo kataa kukubali kua hupendwi, daa. Habiba miye sikuwahi kudhania ningekuja kugombania penzi, tena kwa mtu ambaye hanijali siwezi kuzificha hisia zangu lakini,sitaki k…

Read more »

0
MAPITO YA RAHA NA TABU ZA DUNIA SEHEMU YA PILIMAPITO YA RAHA NA TABU ZA DUNIA SEHEMU YA PILI

Mtunzi. Long live josephat Ilipoishia,,Habiba alikua ameaga anaenda chuo kuangalia matokeo ya walio chaguliwa kujiunga na chuo cha kumbukumbu. Ya mwalimu nyerere, huko kigamboni habiba anafanikiwa kufika kigamboni lakini sio kwa lengo lakwenda chuo …

Read more »
 
 
Top