e mitandao ya kijamii kuwa amewaamuru polisi kufanya msako kwenye nyumba za wageni wakati wa mchana na kuwakamata wataokutwa mda huo.
Akizungumza na mtandao huu alisema hajawahi kutoa maagizo kama hayo, kinachofanyika ni Umbeya umbeya tu.
"Mimi kama Mwenyekiti wa ulinzi Na usalama siwezi kutoa maagizo kama haya, kuna watu wanafanya kazi viwandani wengine usiku hivyo wanahitaji kupumzika mchana huwezi kuwazuia,
kinachofanyika ni Umbeya, siwezi kujibu hoja za kimbeya ni ujinga ....alimaliza Mh Makonda."
Post a Comment