0

watu 11 wamefariki papo kwa papo  na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Simba na Lori lililokuwa limebeba mchanga na kugongana uso kwa uso Mkoani Tanga l
eo hii tarehe 11/06/2016 kamanda wa Polisi Tanga RPC Mihayo Mskhela amesema ‘Hadi sasa kuna vifo vya watu 11, maiti sita na utaratibu wa kuwakabidhi ndugu unafanyika.’
Vipi kuhusu hali za majeruhi? ‘Majeruhi watano hali zao hadi sasa sio nzuri na Madereva wote wamefariki‘ 


Post a Comment

 
Top