Wanzanzibar waanza kuisoma
namaba ni baada ya serikali kuanza kubomoa nyumba wanaoishi Fuon na maduka bila
kulipwa fidia yeyote ni baada y
a kuvamia hifadhi ya barabara
Uamuzi
huo uemsababisha kero na malalamiko makubwa kutoka kwa wakaazi wa eneo na
kuonekana serikali haijali juu ya ilo kwani hakuna kiongozi alijitokeza
kuwatolea ufafanuzi
Wananchi
hao wamesema kubwa wananchi hao wamesema ingawa wanaunga mkono zoezi hilo
la serikali lakini ni kwa serikali kukaa kimya huku wao wengine wana hati
za nyumba zao kihalali na sio wao waliojenga karibu na barabara ila
serikali ndiyo iliyoamua kusogea karibu na nyumba zao.
Juhudi
za kuwapata wahusika wa wizara ya miundombinu na mawasilaono hazikufanikiwa
kutokana na siku ya jumamosi inagawa taarifa ya wizara iko wazi kuwa wote
wanaovunjiwa wamejnga nyumba na maduka kinyume na sheria za baramra huku ujenzi
wa barabara hiyi nimuongoni mwa aahdi za serikali wakti wa kampeni.
Post a Comment