Kasi magufuri imezidi kuzaa matunda kwa kasi ni baada ya
kuonesha dalili nzuri za watu kuanza kulipa makontena yaliyopitishwa kinyemela
leo
Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA,Phillip
Mpango amewasimamisha kazi wafanyakazi 37 mchana huu kupisha
uchunguzi wa sakat
a la upotevu wa makontena bandarini ambayo yanaonekana kutolewa na maafisa hao
au kushirikiana kwa namna moja au nyingineMpango pia ametoa agizo la watumishi wote wa TRA kuwasilisha taarifa za mali zao kwa utawala na kusiwepo na udanganyifu wowote.
Amesema mpaka sasa TRA imekusanya kiasi cha Tsh Bilioni 5 za kodi ya makontena hayo yaliyokuwa yamepitishwa kinyemela
Ni hatua nzuri lakini ni uonezi huku watu waliotoa rushwa kuachwa bila kuchukuliwa hatua bila wala kutangazwa kwamba ni wakina nani lazima serikali itende haki iliawa watu wakome kutoa rushwa kwa kupewa adhabu
Post a Comment