Mbeya
kumekucha nadhani saizi kila mtu ameanza kutambua wajibu wake
na kijituma kwa
biidi leo Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) mchana wa leo wamekata bidhaa
zilizo ingizwa kimagendo nchini kwa kupitia katika mpaka wa Tunduma. Bidhaa
hizo ni vinywaji aina ya Dragon vilivyokuwa vikisafirishwa na gari aina ya Toyota
Hiace. Pichani ni Kamanda wa Polisi Mkoani wa Mbeya, SACP Ahmed Msangi
(akiwasiliana kwa njia ya simu) akiwa pamoja na Afisa wa TFDA Kanda ya Nyanda
za juu kusini, Peter NamaumboRelated Posts
CUF WAJIBU BAADA YA LIPUMBA KUTANGAZWA KUWA MWENYEKITI
Baada ya kupokea Ushauri huo, The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kinapenda kueleza[...]
Sep 24, 2016LIPUMBA APEWA WENYEKITI CUF
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba bado[...]
Sep 24, 2016KWA USHUJAA HUU CHADEMA WANATAKIWA KUIGWA
September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama[...]
Sep 24, 2016VIONGOZI WA DINI WA WASHAMBULIA CHADEMA
Viongozi wa Dini nchini, wamesema Rais JOHN MAGUFULI Hajakataa kuzungumza wala kuwapuuza viongozi[...]
Sep 24, 2016NCHI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE IMEZUKA KANANGA
Ghasia za siku mbili katika mji wa Jamhuri ya kidemorasi ya Congo zimesababisha vifo vya watu 10.[...]
Sep 24, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.