Home
»
Mapenzi
» KUMFURAHISHA MTU AMBAYE AJAWAI FURAHIA TENDO LA NDOA
Kama upo kwenye
uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya kutofika kileleni au
hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa mashoga zake kuwa mapenzi
matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya majambozi mtaishia wote
kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu lenu likawahalina majambozi yaani
mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana na hofu kutawala.
Katika hali ya kawaida kama mwanamke atashindwa
kufikishwa kileleni na ampendaye basi hukosa hamu ya kufanya tendo siku
nyingine anapohitajika kutoa penzi na hata akikubali kufanya basi hufanya kwa
kutimiza wajibu kwani huwa hajui utamu wa majambozi, na mwanaume anayeshindwa
kutotosheleza mpenzi wake kwa kumpa dozi inayostaili hadi kusikia utamu
usiosimulika huyo uwezo wake huwa ni mdogo ambapo mimi huwa napenda kumuita
jogoo.
Ndiyo je, unashangaa nini ushawahi muona jogoo
alivyofasta kumaliza haja zake za mwili na kumuacha tetea akijiuliza anarudi
tena ama ndiyo kaenda maana tetea hubaki kachutama akizani jamaa atarudi kumbe
ndiyo imetoka babakeee!
Kimsingi mahusiano mengi yamevunjika kama siyo
kutawaliwa na usaliti kutokana na tatizo hili hivyo kama wewe ni mwanaume,
mwanamke au ni wapenzi ambao mmedhamiliya kujifunza jinsi ya kumfikisha
kileleni mwanamke na kumfanya ajisikie furaha ya ajabu ambayo wanawake wachache
tu duniani huipata kwa vidume vinavyojua kujishughulisha kunako sita kwa sita
yaani namaanisha wanaume wasio wabinafsi kunako majambozi, tafadhali soma
makala haya kwa umakini kisha nenda kayafanyiye kazi haya nitaninayokueleza:-
HATUA YA KWANZA: USIMPRESHE WALA KUJIPRESHA!
Kadri mwanamke anavyojitahidi kuvuta hisia na
kujishughulisha kwa namna moja ama nyinyingine kuweza kuinua hamasa yake ya
mapenzi ili kuhakikisha anafika kileleni, ndivyo atakavyoweza kusikia raha
ambayo humuwezesha kufikia mshindo.
Amini usiamini hata wanawake ambao wao wakishikwa
kidogo tu kwenye kipengele G yaani g-spot na kupigwa katelelo kwa dk 1 hufika
kileleni pindi wanapokumbana na presha kutoka kwa wapenzi wao basi hushindwa
kufikiakwenye kilele cha raha hata kama mwanaume huyo atadumu kwenye uwanja wa
mapambano kwa dk 30!
Mwanamke yoyote yule anapokumbana na presha zisizo
na sababu toka kwa mwenza wake dakika chache kabla ya majambozi au kwenye
uwanja wa malavedave basi hushindwa 'kupizi' kwani hata kama wazungu (bao)
wakiwa wanakuja na dume likaanza kumpandisha presha wazungu hurudi kwao!
Hali hii haiwakumbi wanwake tu bali hata wanaume
hushindwa kuwajibika vema faragha pindi wanapokumbana na presha za hapa na pale
toka kwa wawapendao.
Hivyo basi wewe mwanaume ili uweze kumfikisha
mwenza wako kileleni unapaswa kuhakikisha unaacha kumuuliza unakuja? siju la
azizi unakaribia kukojoa? au mpenzi nakufanya vizuri? unajisikia raha?
nakukamua vizuri kuliko ....(unamtajia mpenzi wake wa zamani)?
Njia mbadara ya kukabiliana na presha ni
kutoelekeza fikra zako kwenye kupiga mabao, fuarahia mchakato mzima wakufanya
mapenzi bila shaka unatambua kuwa mapenzi yanayolenga kufurahishana/kupena
traha nyote huhitaji kufuata process zote muhimu na hayataki mapenzi ya kuu
yaani yaani unamnyatia mpenzi wako na nadni ya dk 3 umeshamsaula na kumkamua na
gemu linaisha mwanamke wa watu hata hisia hazijamuamka kidume uko pembeni
unatweta yaani mipumzi ya mmmmh kibao, tumia muda wakutosha kutomasana na
katika kipindi hiki cha kuandaana ndipo unapohitaji kuhakikisha unamaliza
presha zote mlizonazo.
Hatua hii ya kwanza ukiitekeleza basi unaweza
ukabadilika katika mtazamo wako juu ya kufanya mapenzi kwani wanaume wengi
huwaza kukamua bao zaidi ya mojawakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wanamfikisha
mwanamke kitu ambacho nsi kweli kwani mwanamke unaweza ukamkojolea hata bao 7,
lakini ukashindwa kumfikisha hivyo kama utaweza kutoa wazo la bao ngapi leo
namchapanazo na kuondoa presha pindi mnapokuwa faragha, unaweza kushikwa na
butwaa kwa jinsi mtoto wa kike atakavyokuwa anakulalamikia kwa raha anayoipata
kitandani na kwa mara ya kwanza unaweza kusikia akikwambia nakuja
dear......usiniulize anakuja wapi kudadeki!
HATUA YA PILI:
SAHAU SUALA YA KUJIFUNZA MBINU MPYA YA KUMKAMUA
UMPENDAYE
Najua wengi wenu mnanishangaakwani mnaamini kuja
na staili mpya kwenye uwanja wa mapambano ndivyo unavyoonyesha uwezo wako
wakumudu mambo furani pindi unapokuwa faragha nataka nikuhakikishie kuwa kwa
kuja na staili mpya kila kukicha ni vigumu sana kumfikisha mwanamke kileleni
kwani yawezekana kabisa staili hiyo ikawa inamuumiza lakini anashindwa
kukwambia kwa kuwa tu anataka usimuone mshamba hayajui mapenzi hiyo ataugulia
kimya kimya bna kwa sababu hiyo basi mawazo yake yote huamia kwenye jinsi gani
atatoa ushirikiano wakutosha kwenye hiyo staili mpya uliyompelekea hivyo basi
ni vigumu amasa zake za mapenzi kuamka na kujiskia raha ambayo wewe mwanaume
mbinafsi uliyetoka kuangalia mkanda wako wa ngono kama siyo kusimuliwa na
wenzako kijiweni staili hiyo uliyoingia nayo ulingoni siku ya shughuli utaipata.
Hapa naomba niseme ukweli wanaume wengi wanapenda
staili ya kubongolewa sizungumziii ule mchezo machafu wa tigo naomba nieleweke
kwana, mwanaume akibongolewa na kulianzisha humchukua sekundwe kadhaa kupiga
bao kwani hujisikia raha isiyo kifani kuyaona matikiti maji (wowowo)
likizungushwa kwa madahaa huku nyonga ikienda kushoto kulia na ni balaa
mwanamke akiwa anajua kukitumia kiuno chake hapo mwanaume anaweza kushituka
hata hajakaa sawa wazungu hao! Ndiyo huu ndio ukweli lakini kwa bahati mbaya
wapo dada zangu fulani fulani wao wanaangalia wanenguaji wa akudo huko wanavyochezesha
nyonga zao kisha wanaenda kuwakatikia madume zao, hii haikubaliki duniani kote
kiuno kinachotakiwa kwenye majambozi ni kile kinachogandishwa kiaina yaani
kinapelekwa kushoto,chini, juu, kulia kama vile anayekipeleka hataki vile, yap
nimekumbuka ni kama vile viuno vya mitego wanavyocheza wadada fulani kwenye
taarabu yaani kama mwanaume umekamilika basi ukamwona dada fulani anacheza
taarabu kama umekaa hutoinuka kudadadeki ujasili utautoa wapi wakati athumani
kichwa wazi udenda unakuwa ushaanza kumtoka!
Mwanaume unachopaswa kuhakikisha ni kuwa unatumia
staili ambayo itamuwezesha na mwenza wako kufika kileleni kisha kuendelea na
staili zingine kwani wanawake wengi hufika mshindo mara moja tu na wachache
hufika kileleni zaidi ya mara moja na kumbuka wengi hufika kileleni kwa
kuchezewa ipasavyo kipengele G yaani sehemu zenye ahamasa ya mapenzi kwa
mwanamke kuliko utamu wa kusimikwa mzizi
HATUWA YA TATU
Mjengengee hali yakukuamini katika penzi lenu,
hakika mwanamke anapobaini kuwa unampenda na humtendi ni rahisi sana kupata
raha ya mapenzi pindi mnapokuwa kwenye majambozi kwani mnapokuwa faragha hisia
zake za mapenzi huwa juu sana si kwa kile kinachoendelea kwenye mwili wake bali
hupanda juu kwa kuwa yupo na mtu anayempenda na kumthamini na anayejua nini
maana ya kupenda hivyo kama kweli unampenda mwanamke unayetaka kuanzisha naye
uhusiano ama uliyenaye katika uhusiano wa mapenzi hakikisha unaziba mianya yote
ya yeye kuwa na mashaka juu yako yaani mfanye amini kuwa unampenda na ni yeye
pekee aliyeiteka nafsi yako.
Mwanamke akiamini unampendahakika utazifaidi zake
zabibu na katu hatakusaliti kwani utakuwa unamtosheleza kwa kila kitu yaani
unampa mapenzi ya dhati ambayo wengi huitaji lakini huishia mikononi mwa
walaghai kadhaa ambao wanajua vema kucheza na lugha na maneno matamu kuwapatia
mabini za watu na wakishafunuliwa tu huanza nyodo na pengine kuwasahau wapenzi
wao yaani wao kuwasiliana nademu wake kwa wiki mara moja ama wiki mbili mara
moja tena mawasilainao yenyewe yanaanza mambo vipi na baada ya dakika chache
kidume unaulizia mchezo sasa kwa staili hiyo usitegemee kabisa unapokuwa naye
faragha utamdatisha kiasi cha kumfikisha! Thubutu yako atakupa miguno ya
kinafiki na kukwambia nakuja kumbe hana lolote amechoka kuendelea kukupa huduma
hiyo na anaona unamkera tu kwa kuendelea kwako kuwa kifuani na akiona
unang'ang'ania basi bwana size atakupunguzia na kufanya msuguano uwe mkubwa
sana kiasi cha kukufanya uhimili kukaa kifuani kwa sekunde kadhaa tu yaani
wazungu anawaita kwa nguvu na wao bila hiyana wanakuja na usiombe kama unacheza
mechi hiyo bila jezi mziki bake utautambua!
Nimalize kwa kusema kuwa jaribu leo, kesho na siku
zote za maisha yako kufanya haya nayokueleza umfikishe kileleni umpendaye kwani
vinginevyo wenzio watakusaidiakumuonyesha mpenzio raha za dunia kwa mambo
matamu kumpatia na kumfanya abaki akigugumia kwa mambo matamu aliyopatiwa na
kumng'angania aliyemjumpatia, usishanagye wapo hivi leo ambao wapo kwenye ndoa
zao lakini wanashindwa kuachana na maboyfriend zao kutokana na kukereheshwa na
kalaa za ndoa zao kwani waweza kukuta mwanamke amevumilia kwa miaka 10
kumtunzia heshima mumewe lakini janaume likawa linashinda baa wee na kungogewa
kuanza kuwalamba wahudumu, sasa mke akibaini na akikutana na walimu vipofu
huyooooanaenda kumtafuta bwana wake aliyekuwa anampatia kwenye mechi
Post a Comment