0




Huku ikiwa magufuri  akiwa anaamini juu ya viwanda chaangamoto kubwa ni kufungwa kiwand cha urafiki cha nguo ikiwa ni baad
a wafanyakazi kutopewa mishahara yao, Mwanzo walihaidiwa watapewa tarehe moja lakini mpaka leo bado hawajapewa iyo imepelekea wafaanya kazi kugoma. 
Pia wafanya kazi hao wamelalamikia kitendo cha kudanganywa na mkku wa wilaya ambaye aluhaidi anafika leo lakii ameshindwa kufika kiwanda hapo





Jeshi la Polisi  Dar es Salaam  leo limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Urafikiambao walifanya mgomo na kuufungia uongozi wa kiwanda hicho  ndani kwa madai ya kutolipwa ongezeko la mishahara yao kwa muda mrefu.

Kutokana na Sekeseke hilo,Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ,Paul Makonda ameamuru kiwanda hicho kifungwe kwa muda ili kusaka suluhu

Post a Comment

 
Top