0


Sasa leo Agosti 11, 2015 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambae ni mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya
Kikwete kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter ameandika ujumbe wa pole kwa mwenyekiti huyo baada ya kuumwa ghafla.
‘Afya ni Muhimu kuliko jengine lolote. Pole sana Mwenyekiti kwa kuumwa ghafla. Wagombea na wapiga debe tupime afya’ – Ridhiwani Kikwete.

Post a Comment

 
Top