0
Leo hii lowassa kawa bora kuliko John Pombe Magufuri  ambaye hawajawai hata mshutumu kama sio kudanganya umma
WATU MBALI MBALI WAMEELEZEA HISIA ZAO KWA KUANZA NA WASOMI. WASOMI WAPINGA NA KULAANI UONGO WA KUBENEA CHADEMA NA UKAWA DHIDI YA LOWASA. NI USALITI WA HALI YA JUU NA DHAMBI KWA MWENYEZI MUNGU KWA MUUNGANO WA UKAWA SASA KUJIFANYA WANA MTETEA LOW
ASA NA KUIAMINISHA DUNIA KWAMBA LOWASA ANAONEWA NA WANA MPANGO WA KUMPOKEA HUKO. LICHA YA UKWELI KUWA NI KIWEWE CHA KIMBUNGA CHA MAGUFULI HII NI CATASTROPHIC POLITICAL FAILURE YA OPPOSITION PARTIES. SASA VIGAZETI VYAO VYOTE NA VYOMBO VYA HABARI WANATAKA KUWAHADAA WATANZANIA KUWA MAGUFULI HAFAI KUMEB WANAOGOPA ASIJE AKAWAUMBUA. LICHA YA KUDAI KUWA LOWASA ANAONEWA KUNA USHAHIDI LUKUKI AMBAPO NI GAZETI LA KUBENEA. ITV NA RADIO ONE PAMOJA NA CHAMA CHA CHADEMA HASA WILBROAD LOWASA NA GDBLESS LEMA WALIOPIGA KAMPENI YA KUWASHAWISHI WATANZANIA KUWA LOWASA NI FISADI. KUMBUKA SLAA AMEREKODIWA AKIDAI ANA USHAHIDI KUWA LOWASA ALIJENGA NYUMBA YA MBUNGE HEWA KWA SHILINGI MILIONI 300 BADALA YA MILIONI 40. PIA NI WILBROAD SLAA ALIAMINISHA WATANZANIA KUWA LOWASA NI KATI YA MAFISADI 10 HATARI YALIYOIFILISI NCHI YETU. KUBENEA KUPITIA GAZETI LA MWANAHALISI ALIANDIKA KWA KINA USHIRIKI WA LOWASA KATIKA RICHMOND, AKADAI ANA USHAHIDI WA BARUA NA MAWASILIANO KATI YA LOWASA NA MSABAHA ALIYEKUWA WAZIRI WA NISHATI KUONESHA JINSI GANI LOWASA ALIINGILIA MCHAKAOT WA RICHMOND ILI KUSAIDIA KAMPUNI YA RAFIKI YAKE ROSTAM AZIZ NA MTU MMOJA AITWAYE MOHAMED GIRE KUPEWA TENDA YA RICHMOND. ITV NA RADIO ONE ZILITUMIKA KIKAMILIFU KUHAKIKISHA WATANZANI WANAELEWA HIZO SKENDO ZA LOWASA NA ROSTAM NA HATA KUNA KIPINDI WALIKUWA WANATUMIA MSEMO MAFISADI PAPA. NA HATA MWAKYEMBE ALIPOKWENDA KUTIBIWA INDIA UWANJA WA NDEGE ALISINDIKIZWA NA KINA MENGI. ALIPORUDI ALUSHIRIKI MISA YA KUMSHUKURU MUNGU NA KUSEMA MAFISADI WAMESHINDWA NA HAO KINA MENGI WALISHIRIKI HIYO MISA. LEO HII SASA WATANZANIA TENA WANATAKA KUTUGAWA KUTULAGHAI KWA SABABU NASIKIA WANAZUNGUMZA NA LOWASA KWAMBA KUTAKUWA NA MAKUBALIANO YA KULINDANA MAANA KUNA HATARI WENYE NCHI KUFUATILIA MAMBO YAO. SISI WATANZANIA WA KAWAIDA WITO WETU NI KWAMBA KAMA KWELI TUNA MAANISHA KUWA TUNAPINGA RUSHWA AU UFISADI BASI NI JOHN POMBE MAGUFULI. KITENDO CHA SASA CHADEMA KUPITIA JAMES MBATIA NA LIPUMBA KUTAKA KUWASALITI WA TANZANIA NA KUWAHAKIKISHIA ULINZI MAFISADI NA WEZI WATAKAOJIUNGA NAO HAKIKUBALIKI. WATANZANIA TUJIUNGE TUKOMBOE NCHI YETU KWENYE MAKUCHA HAYO NA TUHAKIKISHE MAGUFULI ANAINGIA IKULU NA NCHI IENDE MBELE.


Post a Comment

 
Top