0

Mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump amezuru kanisa moja la watu weusi mjini Detroit ameongelea kuhusu ubaguzi wa atu weusi marekani ikiwa ni miongoni mwa njia za kumshinda mgombe
a mwenzake  Hillary Clinton wa chama cha Democrat kwani mgombea mwenzake ameoneshe kukubali zaidi na watu weusi pamoja na Hispanic
Lakini Donald Trump akuwa peke yake aliambatana na Ben Carson ambaye ni mtu aliye kulia katika jamii hiyo

Sintofahamu ni pale palikuwa na maandamano zidi yake nje ya kanisa hilo maandamano hayo yalifanywa na watu weusi mwisho alifanya mahojiano na mchungaji wa kanisa hilo  Wayne T Jackson tazama video hapo chini 

Post a Comment

 
Top