0
Islam Slimani, nyota wa kimataifa wa Algeria aliyesajiliwa kwa paundi mil 29 kutoka Sporting Lisbon ndiye alikuwa nyota wa mchezo.

Sliman aliifungia Leicester mabao mawili huku moja wakijifunga Burnley wenyewe.
Sliman alifunga magoli hayo mnamo dakika za 45 na 48, huku Ben Mee wa Burnley akijifunga mwenyewe na kuwapa Leicester bao la tatu.

Post a Comment

 
Top