0





Sehemu ya 5




Ilipoishia toleo lililopita." Habiba anafahamu anapokaa kevi baada yakujulishwa na james, hata ivyo habiba anasumbuliwa na simu iliyopigwa, kwa kuto kufahamu hili wala lile anaamua, kukubali kwenda kukutana na mtu aliempigia simu, kabla hajaanza safari, asubuhi baba yake anamuita nakumuambia kunadharura ,inabidi waende sehemu fl
ani, habiba anakubali familia nzima inaondoka, wanabaki mfanya kazi wandani na mtoto, baada ya mda wanafika hapo alipowapeleka baba yao habiba anagundua kua wapo hospitali, baada ya mda kidogo habiba anaitwa na nesi teyari kwa ajili ya kupimwa, habiba anashindwa kuelewa anapimwa nini, baadae anagundua kua anapimwa ukimwi, analia sana anakosa lakufanya dokta anambembeleza nakuchukua damu yake, habiba anatoroka kutoka eneo lile bila baba yake kujua, anaamua kurudi nyumbani kuchukua nguo zake ili aanze safari, habiba anabeba mizigo yake lakini mawazo yake yanamtuma aende kwanza magomeni kukutana na yule mtu alie mpigia simu, habiba anafika na anaanza kumpigia simu, kumtafuta alipo, baada ya mda kidogo wanakutana ana kwa ana na yule mtu".......songa nayoooooooo"  
" kwa kweli niliogopa jamaa alikua wakawaida sana yaani ni brother men tuu, sikutegemea kama atakua vile maana msauti wake kwenye simu unatisha, Alikua mrefu wastani mweupe wakawaida tuu, alinionyeshea ishara ya kumfuata baada ya kuniona tulipita mataa ya magomeni aliongoza mimi nilikua nyuma hatukua na story baada ya kama dakika tatu iv tukawa tumefika kwenye kiduka flani cha madawa, aliingia mle ndani aliniita na mimi,nilisita kwasababu palikua pana mlango mwengine ndani ya kile kiduka na yeye ndio alikua anataka niingie mle, mmmmh!!! mwenzagu niliogopa kubakwa ,mtu hata simjui alafu ananiambia niingie sehemu siijui si balaa hili, alisistiza niingie mule ndani, daa ningefanyaje tena na maisha yangu yamesha haribika, nikaamua kuingia nililiweka, begi langu pale kwenye meza ya kioo iliyopo kwenye kiduka kile cha madawa nikaingia mwenyewe, palikua hapatishi sana mule ndani kama nilivyotegemea, palikua pana makochi na lap top kama mbili hivi, zote alikua anazichezea yule jamaa, nilibaki nimesimama naminya vidole vyangu kwa uoga nikawa nimejiandaa  kukimbia kama jamaa akijaribu kunifanyia upuuzi. ghafla yule jamaa akaongea kwa mara ya kwanza ana kwa ana, ilikua hivi.
........"Hebu kaaa wewe mimi sina haja na uchi wako nimeshauangalia mpaka nimechoka sijui unakipi kipya humo ndani, nataka nikuonyeshe uchafu wako,"  
" daa yule brother men anadharau sana yaani yale maneno yake yalinifanya nijihisi nipo uchi, mtoto wakike nikawa mdogo sana sikua nalakufanya ikabidi nikae chini, baada ya muda alinigeuzia lap top moja niangalie, ile kuona kilichopo ndani ya ile lap top nilitamani kukimbia, yaani nilikua uchi wa mnyama nimelala , hizo zilikua ni picha tuu, kama hamsini zote zangu maskinii, nilikua nimepigwa kila upande zilikua zimetoka vizuri yaani hata ukimuonyesha mtoto zile picha ananijua, nilisikitika sana, niliziona zote, hizi zilikua zimetoka vizuri kuliko ile ya kwenye gazeti la ijumaa, niliwaza sana ivi itakuaje sasa , daa huyu jamaa kweli anahaki ya kusema vile kaniona kila kitu ,sina chakumficha, huyu jamaa, wakati huo yule jamaa alikua anachezea lap top yake nyingine, " ........
...." nafikiri umeziona hizo picha sasa nataka nikwambie kua hizo picha ni kawaida sana kuna video yako hapa, daaa wedada unakipaji sana, hii apa itazame bwana".......

" sikua na usemi zaidi ya kusikitika tuu, duu ile video kuiona tuu nilitamani kutapika japo ni mimi ndio nilikua kwenye ile video,  daa nyie acheni tuu, ilikua ni video ndefu sana tena ilikua inaonekana vizuri, alikua ni kevi ,tena gesti ya kule sinza kumekucha, daa jamani, alikua ananichukua mimi tuu, yeye mwenzangu haonekani sura ila mimi kila kitu kama na act mkanda wa ngono, nililia sana, kevi alikua bize sana siku ile na simu kumbe ndio alichokua anakifanya, sikujua daa najuta habiba mimi leo itakuaje?, yule jamaa aliichukua lap top yake nakuniambia kua kuna watu wanakuja kuzichukua zile video na kuzisambaza sehemu mbali mbali, kwaio, watampa pesa kwa ajili ya video zile, alichokua anataka kwangu ni shilingi milioni mbili ili asizisambaze video zile,,  nilipigwa na butwaa nilimjibu jamaa kwa kifupi kua mimi sina pesa zile"........
" samahani kaka yangu mimi sina kiasi hicho cha fedha lakini naomba usizisambaze picha hizo ntakulipa tuu pesa niliyo nayo, hapa nilipo nina kama ,laki mbili tu kaka yangu naomba unisaidie"..
.....jamaa...."  ivi wewe unaumwa nini unajua nikiuza hizi picha naingiza shilingi ngapi?,  naingiza si chini ya nilioni tano mimi nimekufanyia feva ,sana. Yani milioni mbili tuu kwa video kali kama hii yawabongo mnaongea tena kiswahili, na picha hizi za ngono, tena shukuru mimi nina huruma we sister, kama hutaki basi nenda toka humu we hutaki kusaidiwa".....
"Aliongea kwa ukali yule mkaka nikabaki nalia tuu mule ndani, aliinuka nakutaka kuondoka nilimzuia na kuamua kumuahidi pesa alizokua anadai, yule kaka alirudi na kuketi tena,alinisikiliza kisha akajibu"  ....jamaa......." haya nimekuelewa".
.......habiba........"akhasante kaka yangu"  ," nilishukuru kwa haraka yani kama nimepokea baraka vile ghafla yule jamaa akaikatisha furaha yangu"........jamaa....." ila nitakusaidia kwa mashariti mawili, sharti la kwanza nataka unipe hizo laki mbili kama advance najua huwezi nilipa hizo hela zilizo baki kwahio. Nataka ufanye kitu ambacho kitaendana na thamani ya hiyo pesa iliobakia" .
.."nilimtazama yule jamaa kisha nikamuuliza kwa ukali".
..."nifanye nini?".....jamaa .... kitu kidogo tuu...nataka nifanye mapenzi na wewe ili nifidie deni lililo baki, sio mara moja ni kwa miezi sita unatakiwa utembee na mimi kwa wiki mara nne, mpaka itakapotimia miezi sita".... ukikubali nakuhakikishia kamwe huwezi kuziona hizi picha zako kwenye mitandao yangono au sehemu nyingine yoyote na nitakukabidhi hiz lap top"...
" daa mshenzi yule nilijua tuu anapoelekea kumbe hana lolote ananitaka tuuu na ngoja nimpe ukimwi kataka mwenyewe anafikiri mimi najali mbona adhabu ndogo sana hiyo, ngoja aipate joto ya jiwe akigundua hali yangu, niliamua kuvua nguo pale pale kumuonyesha kua nipo teyari kwa lolote atakalo, nilimuona ananimezea mate sanaa siku jali, nilibaki na chupi tuu, kale kabrother men kalikua kanashangaa tuu kana hema. Juu juu, sitanii ila kusema kweli mpaka kevi mwenyewe alikua ananisifia kwa shepu tuu, na wowowo, aaah alikua ananitambua, kasura kangu ka kawaida tuu ,sijichubui sijirembi sana, nahisi jamaa alidata na mimi kwa kuniona kwenye zile video alizozipata nahisi kutoka kwa kevi na sikutaka kumuuliza sababu nilijua kazitoa kwa kevi, basi nikawa namsililiza anasemaje, baada ya kumvulia nguo zangu"
......jamaa...."mmmh. akhasante habiba, kweli computer ni tofauti na live kuona live na kuona kwenye computer ni tofauti kabisaaa, nimependa ulivyo ila napenda kuishi pia samahani ila nafikiri unaelewa namaanisha nini,, we vaa nguo zako siku nikihitaji nitakuambia sawa mama"...
....."nilivaa nguozangu upesi kisha nikakaa kwenye kiti nikawa najiuliza huyu jamaa sasa anataka nini, maana nimemvulia kakataa sijui. Hanisi au mbona simuelewi na kama hataki ngono deni lake nitamlipaje basi nikawa najiuliza mwenyewe tuu pale kwenye kiti"....
........jamaaa......."Sasa habiba nakuomba wewe uende tutaongea kwenye simu sawa, sasa ivi nina kazi nyingi maelekezo na vitu vingine utavipata kwenye simu".....
...."jamaa alimaliza kwa kauli ile, nilikua nimeshampa laki mbili zangu nimebakiwa na shilingi elfu, hamsini tuuu, kwenye mfuko wangu, daa kutoroka tena nikaamua kusitisha, nikawa narudi zangu nyumbani nikiwa nina mawazo sana, juu ya yule jamaa, jina alikua ananijua na kila kitu huyu kevi kamtajia kila kitu , hata ivyo kwenye ile video kevi alinitaja jina langu mara nyingi tuu hata hivyo angelijua tuu jina langu, basi nikawa narudi zangu kinyonge nikakumbuka aliposema kua anaogopa kufa ,kwa kufanya ngono na mimi nahisi alikua anajua kua kevi ana ukimwi na anausambaza ndio maana aliogopa kufanya ngono na mimi daa nitafanyaje bwanaa,, wakati naingia ndani nikiwa namawazo ya kutoka kule kwa yule jamaa, ilikua inaelekea saa moja moja, ivi, niliingia ndani nikaoga nikanawa vizuri, nikaosha macho yaani mimi nilikua mtu wakulia lia tuuu, daa macho yalikua yana vimba muda wotee, mpaka nakosa raha,  nilipo toka bafuni tuu nikakumbuka swala lile la hospitali la kupima ukimwi, nilihisi moyo unatoka nilianza kuhema juuu juu, daa sijui itakuaje leo nimeisha nimeisha,  mungu wangu leo kihama,...baada ya muda alikuja mzee," .......baba...."vipi habiba ulienda wapi mbona ulitupotea hospitali, tumekusubiri wapiii, tumekuja nyumbani, ndio huyu Ashura anatuambia kua ulikuja kuchukua nguo zako vipi kuna nini mama"......
".ilibidi niongope tena  daa"......habiba....."hapana baba nilienda kwa rafki yangu kumuona alikua kazidiwa nikaenda kumpa pole nilifikiri nitawahi kurudi, nilipo maliza kupima nikaona niende kumuona, nakuhusu nguo, kuna nguo zake nilikua nazo mimi nilimuwekea kwaio aliomba nimpelekee, ndio maana nikarudi upesi kuja kuzifuata huku"...

"Mimi tena nikampiga chenga pale pale" .
......Baba....."basi sikunyingine uwe unatuaga bwana sio unaondoka kimya kimya sawa habiba" ..."alinipa onyo nikalipokea"..
.....habiba......." sawa baba"..
.......Baba...." haya wanangu leo tumeenda kupima na majibu yametoka kama ifuatavyo,....lakini naomba kuyasoma baadae tukimaliza kula,, swa wanangu"....
...."daa. Hamu yakula ilikata pale pale nikaingia chumbani nikajuta kwanini nimekuja, basi chakula kilipakuliwa, pale mezani watu wenye apetait zao walikula wengine ndio vile niligundua kua hata, Batuli pia alikua anawasi wasi nae alikua anajua tuu kuna utata, daa basi alikuja tukawa tunapiga story, alinitania eti kama nikiwa nina ukimwi hato lala na mimi , nilinuna maana ilikua kama anayajua vile majibu yangu lakini hakujali na kununa kwangu,,mzee baada ya muda alituita kwa ajili yakupokea majibu yetu, hata yeye alikua hajayasoma yalikua kwenye vibahasha flani ivi,"

Itaendelea. Fuatilia nani anao na nani hana

Je habiba atalipa vipi milioni mbili na ikiwa jamaa hataki ngono,  


Sehemu ya   6



Ilipoishia toleo lililopita,  " Habiba anafanikiwa kukutana na mtu ambaye aliongea nae kwenye simu, baadae anagundua kua yule mtu anapicha zake nyingi za uchi alizopigwa na kevi ,licha ya picha pia anavideo zake za ngono, alizokua akirekodiwa na kevi, habiba anapagawa na anashindwa   afanye nini, yule mtu anamtisha habiba kua , anahitaji milioni mbili ili asiziuze zile picha na video, habiba anampa laki mbili ambayo inaonekana si kitu kwa yule jamaa, hali inakua mbaya, yule jamaa anaamua kumpima habiba kwa kumtaka kimapenzi, habiba anakubali ,lakini jamaa ,anaghairi na kumruhusu, aondoke na kwamba atawasiliana nae kwenye simu,

Habiba anarudi kwao anakumbuka kua aliwatoroka baba na dada yake pamoja na mama yake mkubwa hospitali baada yakupima, hofu inamuingia, baadae anajikaza na kuingia ndani, baba yake anaongea nae ,kisha anamuambia ajiandae nachakula kwasababu baada tu yakumaliza kula atayasoma majibu ya kule hospitali ambapo habiba baba yake na batuli walienda kupima, hofu na kitete kinatawala,............songa nayoooo

.....baba....." mimi napenda nianze na majibu yangu kama ifuatavyo, nikitoka kuyataja yangu nitafuata yabatuli, alafu nitamalizia kwa Habibaa".......

......"Dooo. Nyie alipo litaja jina langu tuu haja hiyoooo ikaanza kubana sijui kwanini, yaani basi tuu, kulia alikua kakaa mama mkubwa  kushoto alikua kakaaa baba mwenyewe  alafu  mimi nabatuli tulikua tumekaa   Sofa moja  tunatazamana nao,  ilikua ni balaa, ukisikia mtu anakufa kwa presha ndio huku, niliomba niende  chooni,  kidogo  Walisema  haina taabu wananingojea choo kipo ndani ya nyumba kwaio  sio rahisi kukimbia yaani  we acha tuu,  nilipoingia  chooni nikajifungia nakuanza kulia  mule chooni, daa nililia sana sketi yangu niliokua nimeivaa niliivua nakuitoa chupi nilikua nimejikojolea ,niliikunja kunja vizuri mtu asijue kisha nika jiosha vizuriii, baada kama yadakika tano nikatoka nakuingia  chumbani niliiweka ile chupi nikaivaa nyingine ,nikamkumbuka kevi na  mambo alionifanyia  nikamuomba mungu anisaidie, sikua na. jinsi,  kwenye majibu nilikua najua nimeathirika kwakua sifa za kevi nimeshazijua nakwamba mimi ni marehemu mtarajiwa, loooh mimi leo ndo siku yangu ya mwisho naumbuka na nakufa mbele yao leo,  baada ya muda nilitoka nikarudi tena sebuleni kuwasikiliza,  ile kufika tuu baba  akaanza"

....baba......" haya wanangu mimi naanza namajibu yetu tuliopima leo kule hospitali nitaanza namajibu yangu, nitakua nataja alama nikisema postive inamaanisha una ukimwi au nina ukimwi,  na nikisema negative  inamaanisha upo salama yani huna maambukizo ya virusi vya ukimwi au nipo salama sina maambukizo, napenda niwaambie wanangu. Sitapoteza imani na upendo kwa yeyote yule atakaye kua kaambukizwa ukimwi ,najua sisi ni binadamu na hatujakamilika, kwaio naomba tusaidiane na tuendelee kupendana kwenye wakati mzuri na kipindi kigumu iwe ninao. Iwe sina iwe unao uwe huna sisi ni kitu kimoja"..

...." hata kabla ya baba kumaliza  nikashikwa nakilio kikubwa  sana ila chakushangaza nataka nikianzishe tuu nikamsikia jirani yangu kakianzisha tena kikubwa tuu nilishangaa sana  kumbe sio mimi pekee mwenye hofu mule ndani, daaaa!!!, kumbe Batuli alikua kama yupo kwenye mawazo yangu na alikua analia kana kwamba kayaona majibu yake vile kwakweli alinipa ujasiri kwa kutokujiona kua nipo  peke yangu kwenye utata ule wa majibu nilianza kumbembeleza Batuli  kisha na mimi nikajidai kua batuli kaniliza , kumbe waapi nina machungu yangu mie tofauti na yale ya kujifanya nambembeleza batuli,"

.......habiba..." pole dada batuli  pole sana usihofu kila kitu kitakua sawa nyamaza ,nyamaza ".......
..."  nili bembeleza huku nikiwa natoka chozi zito watu pale ndani hawakujua tuu kua mimi ndio muhusika mkuu pale, basi watu tulijiunga kumtuliza batuli kabla majibu hayajasomwa, baada yakama dakika kumi natano ivi, baba aliendelea na msimamo wake wakuyasoma majibu, batuli hajiwezi mimi ndio usiseme ,yaani. Wee acha tu"

....baba....." haya sasa naanza , NEGATIVE".......
.."mzee alikua yupo swafiii. Kabisaa, yaani huwezi amini nilikua namuonea wivu sana baba lakini ndio hivyo hamna hata alie mpongeza zaidi ya mama mkubwa mimi nabatuli kimyaaa"

.....baba....." nitaendelea na majibu yapili nilisema anafuatia batuli baada ya mimi na majibu yake ni kama ifuatavyo.   NEGATIVE, hongera mwanangu yaani hana ukimwi au hana maambukizo ya virusi vya ukimwi"

......" baba alimsifia Batuli daa batuli nyie hakuamini alikua anahema juuu juuu tuuu kama, mwizi aliekua kafukuzwa, alipiga kelele mpaka basiii yaani mimi ndio wa mwisho nilikua natamani kulia wivu ninao basi roho inauma tuu, batuli alimkumbatia baba alimkumbatia mama mkubwa na mimi pia , nilikua nampa hongera ila kinafiki sikufurahia kabisa majibu yale daa jamaani ,baba aliendelea kutaja majibu na sasa ni zamu yangu, nyie kufa nataka kulia nataka"

....baba...." haya jamani yanafuata majibu ya mwisho ambayo ni majibu ya Habiba, haya nasoma kama ifuatavyoo, Ni POSTIVEE,"

...."pale pale nikaanguka daa wewe chezea ukimwi wewe, presha na mawazo juuu, yaani nyie acheni tu, basi nikaamka nikaskia baba kuna kitu kaongea kitu ambacho kilibadili mawazo yangu yoote sikuamini kabisa baba alicho niambia"

......Baba......" nisamehe mwanangu pole sana maskiniii sijui nimefanya ujinga gani apa, so. Sory mwanangu,"

..."baba alijaribu kumteka kila mtu akili yake .nikaacha kujitupa pale chini nikawa namsikia baba anasema nini nikawa nawaza kakosea nini? nikavutika na maneno yake lakini batuli pia alivutika na mimi pia nilivutika, na mama mkubwa pia alivutika, nyumba nzima ilikua kimyaa, wote macho tukawa tumemkodolea baba,"

......baba...."samahani jamani kuna makosa yamefanyika haya niliyo yasoma hapa sio majibu ya habiba nahisi kutakua kunakitu tofauti, maana majibu haya ni ya mwanaume lakini mbona sasa nje ya bahasha wameandika jina la Habiba na ndani jina la mtu mwingine nahisi hapa kutakua kuna makosa makubwa sana, maana naona jina la LEVOKATUS, na kwa ninavyojua mimi Levo ni jina lakiume na mimi siitwi levo nawala hamna mtu anaeitwa levo familia hii, na Doctor niliongea nae kila kitu na nilimtajia kila kitu, mpaka majina yenu sijui imekuaje hebu ngoja nimpigie simu"

....."Mzee aliamua kumpigia simu yule Doctor, wakawa wanaongea nae, pembeni kidogo lakini tulikua tunaskia wote, mimi huku nilikua nawaza daa nimepona hapa kwenye karatasi ivi itakuaje huko kwenye  simu sijui itakuaje, niliwaza sana yaani niliisha ndani ya dakika hamsini zilizopita, baba alimaliza kuongea na simu na majibu yake yalikua kama ifuatavyo"

....baba...."jamani nimeongea na Doctor na ameniambia kua kweli kunamakosa yametendeka na nikamuuliza kuwa ni vipi tutayapata majibu akadai kua kesho, lakini mimi sijapenda utaratibu huu si  ningemuua leo mwanangu!!! , maana nimempa majibu yasio yakwake, daa haya kweli majanga , lakini  sio mbaya kesho nataka ukapime tena sio pale bali hospitali nyingine kabisa wale wameshanivuruga, majibu nitaenda kuyafuata kesho na wewe utaenda kupima punde tu baada ya kuchukua majibu tutaenda kupima kwingine. Sawa?"

...." baba aliniuliza"...
......habiba....." sawa baba nimekusikia ngoja nikalale nimechoka sana"
.
..." daa yaani machungu kidogo furaha kidogo, mi nahisi ninao ukimwi , hata kama majibu yale yaliosomwa sio yangu sina budi kufurahi kwa kupona kwa siku ile sina mengi ngoja niende zangu kulala mie nimechoka sana na vurugu la leo na majibu yao ,yani bado mimi tuu, kujua majibu yangu,Mungu saidia,  nilijisemea moyoni , nikaamua kuondoka pale sebuleni na kuwaacha waliopata majibu yao wakishangilia, ile naingia chumbani tuu ikapigwa simu, ilikua ni namba ya yule jamaa wa magomeni, sijui alikua anataka nini mida ile ya saa tano usiku nilikua nimemsevu, jina la roho mbaya yule jamaa wa magomeni daa haya majanga mengine nilijisemea mwenyewe "

Fuatilia hapa itaendelea.


Vipi habiba atatoka kwenye utata huuu,  vipi Roho mbaya anataka nini, usikose hapa  KUFUATILIA MUENDELEZO WA STORI KESHO

Post a Comment

 
Top