0

. Man United watatumia jezi zitakazokuwa zinatengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS kutoka Ujerumani.
Man United wamesaini mkataba  wa miaka 10 na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS, mkataba wenye thamani ya pound milioni 750 na sasa wataanza kutumia jezi za kampuni hiyo. 






Post a Comment

 
Top