0

Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha staa mwenzake mkudesimba (Kitale) kuvujisha picha hizi  akiwa faragha na mwigizaji aliekuja juu katika fani ya uchekesha
ji, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.
 

Kupitia ukurasa wake instagram Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Musa Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.
 

“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili timamu anapata jibu kamili. @mkudesimbaoriginal nikuulize hivi wakati unampa @matejamusa picha ulimwambia ni za nini!? hivi naweza kuwa faragha mbele ya camera!? 
 

"Hata kama unapromote movie hii sio kiivyo kama kupromote kitu ndio hivi basi fani yetu imejaa mazumbukuku, hii ni scene iliyopo kwenye movie sioni sababu ya kunichafua kijinga hivi, kizuri kinajiuza @mkudesimbaoriginal  kuandika shit sio njia sahihi ya kupromote kazi yako”- aliandika Batuli.

Post a Comment

 
Top