0
KWA SASA KILA LEO UKISIKIA KUNA MAKADA WANAKIMBIA CHAMA CHA MAPINDUZI JE CCM ITAWEZA KUSHINDA UCHANGUZI HUU



madiwani walioha ccm na kwenda  chadema  Arusha picha hiyo mmoja akisoma kwa niaba ya wengine
tukiachana na madiwani hao pia kuna wabunge wawili waliokimbia kwenda chadema Ester Bulaya na James Daud Lembeli.   Ester Bulaya na James Daud Lembeli wawe gumzo wakat wametumia Uhuru wao kisiasa ...! Sio yy wa kwanza Bali kuna wanasiasa mashuhuri nchi hii waliwahi ondoka ccm kwa mbwembwe sanaaaa ifuatayo n orodha ya wanasiasa waliokuwa Ccm wakahama ..
1.Mzee Mtei
2.Hama
di rashid
3.Mch. Mtikila
4.Dr slaa
5.Mabele marando
6.Freeman mbowe
7.Augustino mlema
8.Maalim Seif
9.John Cheyo
10.Shibuda
11.Mch .Msigwa
12.Steve Wassira
13.Makongoro nyerere
Hao n baadhi..tuu lakn Ccm imebaki imara japo watu walijua kutatokea anguko la chama....fahari ya Ccm n tofauti na vyama vyingne kwan ukihama Ccm hatujengi chuki na ww km CHADEMA mlivojenga chuki kwa zitto wakati ametumia Uhuru wake kisiasa...Makongoro na Wassira waliposhndwa walirudi Tena Ccm na tuliwapokea hivoo stashangaa km Warioba na lowassa wakitangazwaa kuhamaa chamaaa kwa ntaendelea kuwa heshm na kuwajali km awali...Funzo hapa n kuwa vyama vya Siasa sio ngozi hivoo na vyama vingne muwe na Political tolerance kwa makada wenu wanapoamua kuhamaaa vyama vyenu kwan sio ngozi hivooo ....Sikupendezewa na kauli ya Dr slaa alosema hataki hata kumsikia Zittoo alietumia uhuru wake kuhama CHADEMA .....! Nawapendeni wote Siasa zisitutenganishe na tengen mudaaa kuiombea nchi Aman hasa kipind hiki cha Uchaguz mkuu

Post a Comment

 
Top