Agosti 2012 aliyekuwa
Waziri wa
Uchukuzi Dk Mwakyembe
alimfukuza
aliyekuwa Mkurugenzi wa
TPA Ephraim
Kigawe wna kumteua
Injinia Kipande
kukaimu ukurugenzi na
baadae akaja
kuwa mkurugenzi,sababu
ikiwa
matumizi mabaya ya
madaraka
Feb 2015 aliyekuwa Waziri
wa
Uchukuzi Samuel Sitta
alimfukuza
Injinia Shamte Kipande na
kumteua
Awadhi Massawe kukaimu
ukurugenzi,sababu ikiwa
utendaji
mbovu
Oktoba 15 2015 Rais
akamteua rasmi
Awadhi Massawe kuwa
Mkurugenzi
wa TPA huku akisifiwa
kafanya
mageuzi makubwa kwa
kipindi kifupi
alichokaimu ukurugenzi
Desemba 7 2015 Awadhi
Massawe
amefukuzwa ukurugenzi na
kuamriwa
awekwe chini ya ulinzi na
Rais JPM,
sababu ikiwa utendaji
mbovu.
Hizi ni dalili za uongozi
uliooza, katika
nchi inayoamini kwenye
uimara wa
watu kuliko mifumo,
taasisi na mihimili.
Mimi ni muumini wa
mageuzi ya
mifumo,mageuzi ya taasisi
na mageuzi
ya mihimili.
Mimi ni muumini wa
mabadiliko
yanayotokana na mageuzi
ya katiba,
sheria, mienendo na
taratibu, vyote
vijijenge kwenye mageuzi
ya
usimamizi. Hivyo mwakyembe
na Samwel Sitta ni watu wasioaminika na wao wasikilizwe au wasaidie polisi
By Julius
S. Mtatiro
Post a Comment