(
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina
relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka
na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye
kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
ii.Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii.Mishipa
ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye
mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya
mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa
presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi
utasimama ukiwa legelege sana
iv.Mishipa
ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush
na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka
kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Matokeo
yake basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume
na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa
ya uume ndani ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume
usinyae ndani ya muda mfupi sana.
v. Mishipa ya uume kulegea
vi. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto
6. Tatizo la unene kupita kiasi :
Tatizo la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Unene
kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na
magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la
damu.
Na
magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu
husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo
kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo
basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi ,
pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya
na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
Jinsi ya kupunguza Uzito na Unene kwa Kutumia Tiba Asilia. Tafadhali Tembelea;
7. Matatizo Katika mfumo wa Ubongo
Uume
hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili
mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya
tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo
hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa
mgongo ambayo nayo Hivyo
basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni
lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya
fahamu ( ubongo ), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa
ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu,
uume hauwezi kusimama.
Magonjwa
yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na
mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa
uume.
Magonjwa
hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ),
multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.
Ni
vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza
kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu
magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia,tafadhali tembelea
Mambo
mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za
kiume, ni pamoja na maumivu & majeraha kwenye uti wa mgongo,
chango la kiume , ngiri na matatizo katika homoni.
Viashiria vya mtu mwenye tatizo la Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za Kiume.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4.
Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika
baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa
kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume
anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “
missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana
tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u
lege lege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7.
Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama
ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano,
wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga
chafya, uume nao unasinyaa.
8.
Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa
mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje,kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Viashiria vya mwanaume asiye na tatizo la Ukosefu wa nguvu za kiume
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii.Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa
stimulated kwa namna yoyote ile
vi.Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
Tiba Asilia ya Tatizo la Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za Kiume.
Dawa asilia ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Mfumo wa Dawa
Dozi
ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo
mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.
Jinsi Dawa ya Jiko Inavyofanya kazi
Dozi ya dawa ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
1.
Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo
kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari
wakati wa tendo la ndoa.
2.
Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia
katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya
kwenye uume.
3. Huongeza damu mwilini
4.
Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya
uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
5.
Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya
vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la
ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa
kwa muda mrefu( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )
6.
Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa
kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na
msongo wa mawazo
7.
Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa
ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa
mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume
8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.
9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
10. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
11.
Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda
mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
12. Husaidia kutibu chango la kiume.
13. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
sasa inakuaje mtu anakosa tendo ndoa wakati uume umesmama lakini amu hana akianza tu unalala akitoa tu unasmama
ReplyDelete